RANIERI AMTAKA MAHREZ KUIGA MFANO WA LIONEL MESSI NA CRISTIANO RONALDO

KOCHA wa Leicester City, Claudio Ranieri amemtaka winga wake, Riyad Mahrez kuiga mfano wa Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ambao siku zote dhamira zao huwaongoza kufanya vizuri katika msimu.  

No comments