REAL MADRID YAJIANDAA KUTUMA OFA TOTTENHAM KWA AJILI YA KUMNASA DELE ALLI


DELE Alli amekuwa na kiwango kizuri msimu huu akicheza klabu ya Tottenham, kwa sababu hiyo klabu ya Real Madrid inajiandaa kutuma ofa ya pauni mil 50 ili kumsajili kiungo huyo.

No comments