RICARDO NAE ATIMKIA CHINA... aenda kujiunga na Shanghai SIPG

RICARDO Carvalho ameungana na nyota wengine kutimkia China kucheza Ligi ya nchi hiyo. Mlinzi huyo raia wa Ureno anakwenda kujiunga na klabu ya Shanghai SIPG.

No comments