SHKODRAN MUSTAFI ASIFU JUHUDI ZA ARSENAL KUWANIA UBINGWA LIGI KUU ENGLAND

BEKI wa Arsenal, Shkodran Mustafi amesifu juhudi za timu yake na anaamini kwamba wanaweza kupigania ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu.

No comments