TUMIA dakika zako 13 na sekunde 36 kusikiliza wimbo mpya kabisa wa Jahazi Modern Taarab uimbaji wake Mwasiti Kitoronto (pichani juu).


Hii inakuwa ni kete ya kwanza ya Jahazi baada ya Mzee Yussuf kung’atuka na kuachana na mambo ya muziki. Isikilize hapo juu.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac