SIMEONE AWATAKA WACHEZAJI WAKE "KUKAZA" ILI KUIFUNIKA BARCELONA COPA DEL REY

KOCHA wa Atletico Madrid, Diego Simeone amewataka wachezaji wake kucheza kiume na kuifunika Barcelona kuelekea kutwaa taji la Copa del Rey.

No comments