SOL CAMPBELL ASEMA ANAWEZA KUMSAIDIA BEKI JOHN STONES WA MAN CITY

MLINZI wa zamani wa Arsenal na Totten Ham, Sol Campbell amesema anaweza kumsaidia beki aliye kwenye wakati mgumu sasa Manchester City, John Stones.

No comments