SOULJA BOY ACHOKA "KUSUBIRI" KUWAKA KWA MOTO WA VITA YAKE DHIDI YA CHRIS BROWN

RAPA machachari Soulja Boy amesema kuwa amechoka kusubiri na sasa anatangaza vita rasmi na Chris Brown.

“Kwa hakika sidhani kama kuna mtu anayeweza kuendelea kusubiri kati yetu, bila shaka ili kuleta nidhamu ni lazima vita viwe popote tutakapokutana,” amesema.


Amesema kwake yeye yupo tayari kukinukisha popote watakapokutana, iwe Los Angeles, Las Vegas, Dubai au kwingineko.

No comments