MKONGWE wa Liverpool, Steven Gerrard anarejea kwenye klabu hiyo kufanya kazi katika kituo cha kulelea yosso.

Gerrard amekuwa na mazungumzo na uongozi wa Liverpool tangu alipostaafu soka nchini marekani.

“Najisikia vizuri kwa kweli kwa kupata nafasi ya kufanya kazi nilipoanzia soka langu,” alisema Gerrard ambaye ataanza kibarua chake kipya mwezi ujao.


Gerrard atafanya kazi chini ya Alex Inglethorpe katika kusimamia yosso wa Liverpool.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac