STOKE CITY WAANZA KUTETA NA PETER CROUCH KWA AJILI YA KUMUONGEZEA MKATABA

KOCHA wa Stoke, Mark Hughes amesema wameanza mazungumzo na mshambuliaji wa zamani wa England, Peter Crouch ili kumuongezea mkataba.

No comments