STRAIKA JERMAIN DEFOE KUBAKI SUNDERLAND HADI HATMA YA TIMU

STRAIKA wa Sunderland, Jermain Defoe hataondoka klabuni hapo wakati wa dirisha dogo baadae mwezi huu na badala yake atasubiri kuondoka kama mchezaji huru endapo timu hiyo itashuka daraja.

No comments