TETESI ZA WAYNE ROONEY KUTAKIWA UCHINA ZAMPA TUMBOJOTO MOURINHO

TAARIFA za kutengewa mshahara wa pauni mil 700,000 na klabu ya China kwa wiki kwa naodha wa Manchester United, Wayne Rooney zimemstua kocha Jose Mourinho.

Kocha huyo anadhani itakuwa vigumu kumzuia Rooney mwenye miaka 31 asizifuate fedha anazotangaiwa na klabu mbili za China Ghuangzhou Evergrande na mahasimu wao Beijing Guoan.


Rooney kwa sasa analipwa pauni 250 kwa wiki Old Trafford hivyo kwa poti hiyo ni vigumu kumzuia mchezaji huyo ambaye tayari amechuja kwa mashabiki wa timu hiyo.

No comments