TEVEZ AKANUSHA KUSHIKILIA REKODI YA MCHEZAJI ANAYEKUNJA MKWANJA MNENE ZAIDI CHINA

CARLOS tevez amekana taarifa ya vyombo vya habari kuwa anashika rekodi ya mchezaji anayelipwa fedha nyingi zaidi baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kucheza Ligi Kuu China.

No comments