TUPIA MACHO VIDEO YA “KISMET” YA ISHA MASHAUZI …kazi imetulia si kitoto

KICHUPA kipya cha Mashauzi Classic kimedondoshwa rasmi wiki iliyopita…ni video ya wimbo “Kismet” kutoka kwa Isha Mashauzi.

Ni bongo ya video iliyojaa ubora wa hali ya juu unaozidi kuuweka matawi ya juu wimbo huo wenye mashairi matamu ya mapenzi. Itazame video hiyo hapo juu.
Isha Mashauzi


No comments