UBISHOO WA POGBA KUREMBA NYWELE WAONEKANA "UJINGA", ASHAURIWA AACHANE NAO

KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba ameshauriwa kuacha kinachoitwa “ujinga” wa kukata na kuremba nywele kwa mujibu wa kocha wa zamani wa timu ya vijana ya United, Warren Joyce.

No comments