UKARIBU WA JENNIFER LOPEZ, DRAKE WAZUA MASWALI YASIYO MAJIBU

IMEELEZWA kuwa ukaribu wa sasa wa wanamuziki nyota Jennifer Lopez “J-Lo” na Drake unazua maswali mengi kuliko majibu.

Mmoja wa watu wa karibu wa nyota hao amesema wawili hao wanajiandaa kuachia kitu cha pamoja hivi karibuni.


Hata hivyo, tetesi zinavuja kuwa wawili hao hivi sasa wana mahusiano ya kimapenzi ingawa wenyewe hawabainishi hilo.

No comments