WACHINA SASA WAKO TAYARI KUWAJAZA NYOTA WA ULAYA MSHAHARA WA PAUNI 800,000 KWA WIKI

LIGI Kuu China imeendelea kuwapa mchecheto wanasoka nyota Ulaya na sasa Ligi hiyo iko tayari kutoa mshahara wa pauni 800,000 kwa wiki kwa mchezaji Dele Alli, 20,
Hary Kane, 23, Ross Barkley, 23 wa Everton na straika wa Liverpool, Daniel Sturridge, 27.

No comments