WAYNE ROONEY: NIKO TAYARI KUONDOKA MAN UNITED NA KUTUA LIGI YA CHINA

WAYNE Rooney amesema yuko tayari kutimka Manchester United na kwenda kucheza Ligi yenye fedha ndefu nchini China.

No comments