WENGER ASEMA MAJERUHI SANTI CAZORLA ANA ZAIDI YA WIKI 10 NJE YA UWANJA


KOCHA Arsene Wenger amesema kiungo wake, Santi Cazorla ataendelea kuwa nje kwa wiki 10 zaidi kwa vile anahitaji kufanyiwa matibabu ya hatua ya pili ya mguu wake wa kulia.

No comments