WEST HAM KUKATA MKWANJA WA PAUNI MIL 8 KUMNG'OA JOSE FANTA SOUTHAMPTON

KLABU ya Westham wameridhia kutoa pauni mil 8 ili kumsajili mlinzi mkongwe wa Southampton mwenye miaka 33, Jose Fonte kwa nia ya kuimarisha safu yao ya ulinzi.

No comments