WEST HAM WAITAKA MERSEILLE KUONGEZA DAU ILI KUMCHUKUA DIMITRI PAYET

WEST Ham imeitaka klabu ya Marseille kuongeza dau hadi pauni mil 30 ili kumsajili kiungo Dimitri Payet na kinyume na hapo wasahau habari ya kumpata.

No comments