WEST HAM YAJIANDAA KUPUNGUZIWA “MPUNGA” DIMITRI PAYET


MSHAMBULIAJI wa West Ham, Dimitri Payet, 29, anajiandaa kupunguziwa mshahara ili arudi kwenye klabu yake ya zamani, Marseille, kwa mujibu wa mwandishi wa habari Mfaransa, Julien Laurence.

No comments