WEST HAM YAMLAMBISHA BEKI JOLEON LESCOTT MKATABA "MWEMBAMBA"

WESTHAM “The Black Cats” imempa ofa ya muda mfupi mlinzi wa zamani wa Aston Villa, Joleon Lescott baada ya beki huyo kumaliza mkataba na klabu ya AEK Athens.  

No comments