WINGA MSERBIA LARKO MARKOVIC WA LIVERPOOL ANUKIA HULL CITY

WINGA wa Liverpool raia wa Serbia, Larko Markovic anatarajiwa kujiunga na Hully City ya Ligi Kuu England kwa mkopo.

Mchezaji huyo aliyekuwa akikipiga kwa mkopo kwenye timu ya sporting Lisbon ya Ureno amesema amechoshwa na maisha ya Ureno hivyo anataka kurejea Uingereza.

No comments