YAH TMK YADHIHIRISHA MCHEZA KWAO HUTUZWA …yafunika Bulyaga siku ya Mwaka Mpya


BENDI mpya ya taarab - Yah TMK Modern Taarab siku ya Jumapili ilitesa vilivyo katika ukumbi wa New Bulyaga Bar ulioko Temeke.

Ilikuwa ni kama hadithi ya ‘Mcheza kwao hutuzwa’ ambapo Yah TMK yenye maskani yake Temeke, ilikonga nyoyo za mashabiki waliofurika kwa wingi Bulyaga.

Yah TMK ilifanya onyesho hilo maalum la kusherehekea Mwaka Mpya kwa kushirikiana na Msondo Ngoma Music Band.


Pata picha 10 za Yah TMK kwenye jukwaa la Bulyaga Bar.
 Chid Boy akipapasa kinanda
 Babu Ali Kichupa kwenye kinanda
 Mohamed Mauji akiwapa raha mashabiki wa Yah TMK
 Fatma Mcharuko mbele ya mashabiki kibao
 Mussa Mipango akilingurumisha bass gitaa
 Mashabiki wakisakata muziki wa Yah TMK
 Omar Teggo akilimiliki jukwaa
Aisha Vuvuzela
Fatma Mcharuko


No comments