AGUERO APOTEZEA TETESI ZA KUSEPA MAN CITY, ADAI BADO ANA MZUKA WA KUKIPIGA ETIHAD

LICHA ya tetesi zinazoendelea kusambaa kuwa ataondoka Etihad, straika Sergio Aguero amesema hilo halipo na anataka kuendelea kufanya kazi klabuni hapo.


Mkataba wa sasa wa Aguero unamalizika mwaka 2020 na ametajwa kutokuwa na furaha klabuni hapo tangu kocha Pep Guardiola alipotua.

No comments