ANTOINE GRIEZMANN AWAPA MASHARTI ATLETICO MADRID ILI AENDELEE KUBAKI KIKOSINI

MSHAMBULIAJI matata wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann mwenye miaka 25, ameiambia klabu hiyo kuwa atabaki iwapo watafuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Griezmann anayesakwa kwa udi na uvumba na klabu mbalimbali barani Ulaya, amesema iwapo hawatafuzu ataondoka mwishoni mwa msimu huu na timu aliyoichagua kujiunga nayo ni Manchester United.

No comments