ANTOINE GRIEZMANN KUWAONDOA ROONEY, FELLAINI OLD TRAFFORD

NAHODHA wa England na Manchester United, Wayne Rooney atauzwa Juni, mwaka huu ili klabu yake ipate fedha za kumnunua mshambuliaji wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann.


Kwa mujibu wa taarifa zilizovuja na kuwa, United wako tayari kuwapiga bei Rooney, Ashley Young mwenye miaka 31, pamoja na kiungo Marouane Fellaini mwenye miaka 29, ili kupata fedha za kumvutia Old Trafford mpiga mabao huyo.

No comments