ARRIGO SACCHI AIITA BARCELONA “MFALME MAREHEMU”... asema sasa ni zamu ya Juventus kuwa mfalme wa soka

NGULI wa soka duniani, Arrigo Sacchi ameitabiria vibaya timu ya Barcelona akisema kuwa mfalme huyo wa soka hapa duniani ni kama “marehemu”.


Sacchi amesema kwamba utemi wa Barcelona katika soka duniani unakwenda mwisho wake lakini amesema sasa ni zamu ya Juventus kuwa mfalme wa soka.

No comments