ARSENAL, CHINA UWANJANI TENA JULAI MWAKA HUU

ARSENAL na China zitavaana tena Julai, mwaka huu nchini China.

Timu hizo zenye upinzani za jijini London zilivaana jana kwenye mechi ya Ligi Kuu England.

Mechi ambayo itakuwa sehemu ya maandalizi ya timu hizo kwa msimu wa 2017/18, itakuwa ya kibiashara zaidi.
Mechi hiyo itapigwa katika uwanja wa Bird’s Nest jijini Beijing.


Hata hivyo, bila shaka wamiliki wa uwanja huo watakuwa wamefanya maboresho kwani ubovu ulisababisha Manchester United na Manchester City zishindwe kukabiliana msimu uliopita.

No comments