ARSENAL, TOTTENHAM WAINGIA VITANI KUWANIA SAINI YA STRAIKA WA FREIBURG

KLABU hasimu za kaskazini mwa London, Arsenal na Tottenham wamejikuta katika vita ya kumwania straika wa Freiburg, Maximillian Philipp.


Msimu huu nyota huyo mwenye umri wa miaka 22, amefunga mabao matano katika michezo 13 ya Bundesliga.

No comments