ARSENE WENGER AMTENGEA DAU NONO PIERRE-EMERECK AUBAMEYANG


KOCHA Arsenal Wenger ameamua kuacha uvivu wa kusajili ambapo sasa ameingia katika vita ya kumwania nyota wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang kama njia ya kuwaziba midomo wakosoaji wake wanaomtazama kocha huyo kama ni mtu bahiri na asie na uchu wa mataji.

No comments