ARSENE WENGER ATAMBA "BADO NIPO NIPO SANA TU ARSENAL"

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kwamba hana shaka yoyote kwamba atakuwa bado anafanya kazi ya umeneja msimu ujao Arsenal au kingineko.

No comments