ATLETICO MADRID YAITIBULIA ARSENAL USAJILI WA ALEXANDRE LACAZETTE

KLABU yenye mafanikio kwa sasa nchini Hispania, Atletico Madrid ni kama imeitibulia Arsenal baada ya kutangaza kumtaka mshambuliaji Alexandre Lacazette.


Mshambuliaji huyo mwenye miaka 25, amesema ataondoka Lyon ya Ufaransa Juni, mwaka huu na Arsenal walishatuma ofa lakini kujitosa kwa Atletico Madrid kumemfanya asite kuikubalia haraka Arsenal.

No comments