Habari

BAYER LIVERKUSEN YAITUNISHIA MISULI CHELSEA

on

KLABU ya
Bayer Leverkusen ya Ujerumani ni kama imeanza kuitunishia Chelsea baada ya
kutangaza nia ya kutaka kumsajili mchezaji anayefukuziwa na matajiri hao wa
London.

Leverkusen imepiga
hodi nchini Uturuki ikimtaka kiungo Hakan Calhanoglu mwenye miaka 22 ambaye
Chelsea wanamtaka kwa udi na uvumba.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *