BAYERN LIVERKUSEN YAMALIZANA NA MWANASOKA WA KIMATAIFA WA JAMAICA

KLABU ya Bayern Liverkusen ya Ujerumani imekamilisha usajili wa mwanasoka wa kimataifa wa Jamaica, Leon Bailey aliyekuwa akikipiga Genk. Amesaini mkataba hadi mwaka 2020.

No comments