BENCHI LAMCHOSHA CHIPUKIZI STEPHY MAVIDIDI WA ARSENAL... asema bora akakipige mchangani tu

MSHAMBULIAJI chipukizi wa Arsenal, Stephy Mavidid mwenye miaka 18 amesema yupo tayari kucheza timu ya Ligi za chini kuliko kuozea benchi.


Kinda huyo ambaye amekuwa akihitajiwa kwa udi na uvumba na Chalston ya daraja la kwanza, alisema ni bora ajiunge huko na kupata nafasi ya kucheza kuliko uoze benchi Emirates.

No comments