CESC FABREGAS AIKANA LIGI YA CHINA MCHANA KWEUPEE


KIUNGO wa Chelsea, Cesc Fabregas amesema hana mpango wa kwenda kujiunga na Ligi yenye fedha nyingi nchini China ila anaweza kwenda kucheza soka nchini Marekani.

No comments