TIMU ya Chelsea inasemekana kuwa bado ina mpango wa kumnasa staa wa West Ham, Dimirti Payet ili akakipige kwenye klabu hiyo ya Stanford Bridge kabla dirisha dogo la usajili halijafungwa.


Kwa mujibu wa gazeti la Daily Maily hadi sasa Payet amegoma kuichezea klabu yake hiyo ya West Ham akishinikiza kuondoka na Chelsea wanataka kuitumia nafasi hiyo ili kunasa saini yake.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac