CHRISTIAN BELLA & MALAIKA BAND ‘KUVAMIA’ MOSHI VALENTINE’S DAYWimbo wa “Ollah” wa Chrtisian Bella ambao unatesa kwa sana tangu uachiwe mwezi ulipita, utapelekwa ‘live’ kwa wakazi wa Moshi mjini siku ya wapendanao (Valentine’s Day).

Bella akiwa na kundi zima la Malaika Band, atakuwa Moshi Jumanne tarehe 14 katika ukumbi wa Kuringe Open Space & Garden ambapo kiingilio kimepangwa kuwa kati ya elfu 20, 30 na elfu 50.

No comments