CRISTIANO RONALDO ADAIWA KUWATUKANA MASHABIKI SANTIAGO BERNABEU

STRAIKA wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo anadaiwa kuwatukana mashabiki wa timu yake waliokuwa wakimzomea kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu, kwa mujibu wa kamera ya deportes Cuatro.

No comments