DANIEL KONAYO WA NOLLYWOOD ADAI ANAOGOPA KUTOKA NA WANAWAKE WASANII… asema sio waadilifu na hawaridhiki na kipato chao

MSANII mahiri wa Nollywood, Daniel Konayo amesema pamoja na kuwa staa lakini hajawahi kujirusha na msanii yeyote wa kike.

Staa huyo aliyasema hayo majuzi alipozungumza na kituo kimoja cha Televisheni akisema anawafahamu wasichana waigizaji hawajatulia.


Alisema kuwa miongoni mwa mambo ambayo alikuwa na tahadhari nayo tangu anajitosa kwenye filamu ni kutowasogelea waigizaji wa kike kwa kuwa sio waadilifu na hawaridhiki na kipato chao.

No comments