DOGO JANJA AKANA KUTOKA NA IRENE UWOYA VALENTINE DAY

MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Dogo Janja amekanusha tetesi zilizozagaa juu ya kutoka kimapenzi na msanii wa filamu nchini, Irene Uwoya na madai kuwa walikuwa wote usiku wa siku ya Wapendanao “Valentine Day”.


“Mimi mke wangu anaishi Morogoro, sijawahi kutoka kimapenzi na mtu aliyenizidi umri, usiku wa kuamkia Valentine day niliulia nyumbani mwenyewe nilikuwa na bro,” alisema Dogo Janja.

No comments