EMINEM AJINASIBU KUPAGAWISHA UINGEREZA TAMASHA LA LEEDS

RAPA machachari wa Marekani, Eminem amesema mwaka huu atahudhuria tamasha kubwa la muziki la Leeds nchini Uingereza.


Eminem amesema baada ya kutoshiriki tamasha hilo kwa kipindi kirefu, mwaka huu atashiriki na akawataka mashabiki wake wa Uingereza kujiandaa kupata burudani ya uhakika.

No comments