EVERTON YAPIGANA KUMBAKISHA ROMELU LUKAKU KIKOSINI

HATIMAYE mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji, Romelu Lukaku amepangiwa kubakishwa kwa kila hali na klabu yake ya Everton.


Kocha wa klabu hiyo, Ronald Koeman amesema watatumia kila aina ya ushawishi kumbakisha mpiga mabao huyo Goodison Park ikiwemo kumuongezea fedha za mshahara.

No comments