FEDERICO BERNARDESCHI WA FIORENTINA MBIONI KUTUA CHELSEA

VINARA wa Ligi Kuu England, Chelsea wapo katika nafasi nzuri ya kumsajili mshambuliaji wa Fiorentina, Federico Bernardeschi.


Kinda huyo wa Italia mwenye miaka 22, yupo kwenye kiwango kizuri msimu huu na tayari ameifungia timu yake mabao tisa hadi sasa katika serie A.

No comments