FEDHA ZA WACHINA ZAWAZUZUA WATFORD... sasa ipo tayari kumruhusu Odion Ighalo kwenda Changchun Yatai

TIMU ya Watford inayishiriki Ligi daraja la kwanza England imesema ipo tayari kumwachia mshambuliaji wake raia wa Nigeria, Odion Ighalo.

Watford imemruhusu Ighalo kwenda Changchun Yatai ya China iwapo watapewa pauni Mil 20 kwa mpiga mabao huyo.

No comments