FERNANDINHO ATABIRI KIWANGO CHA GABRIEL JESUS KUTODUMU KWA MUDA MREFU


KIUNGO Fernandinho ameonya kuwa kiwango cha Gabriel Jesus hakitadumu kama kilivyo kwani ameanza kutumika akiwa na umri mdogo zaidi.

No comments