UMESHABAHATIKA kuiona filamu mpya iitwayo “Agony Of My Daughter I”, kazi ya mwigizaji Regina Daniels iliyoingia sokoni wiki iliyopita?

Takriban watu 11,024 waliitazama filamu hii nusu siku tu tangu kutolewa na imewavutia maelfu ya watu.


Kisa chake kinahusu kupotea kwa baba wa familia ya Somma ambaye anaiacha familia yake katika janga la umasikini na wakati wakihangaika kumtafuta, bintiye Fate na mama yake wanakutana na Azubuike anayewafanyia kitu mbaya.  
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac