FRANK LAMPARD NAE KUREJEA CHELSEA KAMA BALOZI WA TIMU

KLABU ya Chelsea imewashitua wengi baada ya kutangaza kumpa ofa nono ya kurejea klabuni hapo kiungo wake wa zamani, Frank Lampard mwenye miaka 38.

Hata hivyo, Chelsea imefafanua kuwa inataka kumtumia staa wake huyo wa zamani kwa kazi za ubalozi wa timu.

No comments